Trump Auponda Uteuzi Wa Kamala Harris Mgombea Mweusi Mwenza Wa Biden

Trump mwenyewe ameukosowa vikali uteuzi huo, akimtaja mwanasheria huyo aliyegeuka kuwa mwanasiasa kama mtu mwoga na asiyefaa.

"Alikuwa mmoja wa watu waliotabiriwa kuwa na nafasi ya kushinda. Lakini alichofanya ni kuwa baada ya watu kumjuwa, akaporomoka. Alimazia na asilimia 2, na yumkini chini ya hapo. Kisha akakimbia. Kumbuka jinsi alivyokuwa na pupa ya kusema maneno mabaya dhidi ya Biden. Kitu pekee ambacho sifikirii kama yeye Biden angeliweza kukifanya. Yaani anamchukuwa mtu ambaye alimuita mbaguzi," alisema Trump.


EmoticonEmoticon