VIDEO | Beyonce, Shatta Wale, Major Lazer – ALREADY (Official Video)

Already inapatikana kwenye Album mpya 'Black is King' toka kwa mwanadada Beyonce. Shatta Wale toka Nigeria amepata shavu la kuwakilisha vyema kwenye wimbo huu na star Beyonce.