Watu Zaidi Ya 40 Wamefariki Kutokana Na Mafuriko Korea Kusini

Idadi ya watu ambao wamefariki katika mafuriko yaliotokea nchini Korea Kusini  imeripotiwa kuongezeka na kufikia watu  42.

Kulingana na taarifa ambazo zimetolewa na kituo cha habari cha Yonhap  korea Kusini zimefahamisha kuwa  wizara ya mambo ya ndani na idara ya usalama imefahamisha kuwa watu  zaidi  6000  wameondolewa katika majumba yao katika eneo hilo na kupelekwa katika eneo salama ambalo limeandaliwa kwa ajili ya waathirika wa mafuriko hayo. 

Mvua zimenyesha katika miji tofauti  ikiwemo mjini Seul nchini humo.


EmoticonEmoticon