WHATSAPP : Fahamu Kuhusiana Na Mbinu Mpya Ya Ujumbe Kujifuta Baada Ya Kuusoma, Ku Mute Sauti Ya Jumbe Daima

Whatsapp
Toleo la 2.20.197.3 kwenye WhatsApp Beta mtumiaji anaweza akaamuru daima asiweze kusikia sauti ya ujumbe unapoingia kutoka kwa mtu ama kundi/vikundi.
VIlevile, WhatsApp wanaonekana kurudisha machoni pa watu kipengele cha jumbe kuweza kufutika baada ya muda fulani kupita (siku 7) na hii ni kwa mujibu wa WABetaInfo ikionyesha mtu anaweza kukiruhusu au kutokukiruhusu kufanya kazi yake.
Hiyo ndio WhatsApp Beta na ukimya kwenye WhatsApp ambapo watumiaji wake wanapata kupokea masasisho kabla ya wengine wote.


EmoticonEmoticon