Avunja Rekodi Kwa Kukaa Kwenye Barafu Dakika 150

Raia wa Australia Josef Koeberl (42) amevunja rekodi ya Dunia baada ya kukaa kwenye sanduku lenye barafu kwa saa 2 , Dk 30 na sekunde 57, ameivunja rekodi ambayo aliiweka mwenyewe ya kukaa kwenye barafu kwa saa 2 DK 8 na sekunde 47 .
Josef Koeberl alisema "Namshukuru Mungu nimefanikiwa, baada ya kukaa kwa DK 120 presha ilishuka ghafla hivi lakini baadaye nikawa sawa, haikuwa rahisi"


EmoticonEmoticon