Big Sean Ampiku Tekashi Kwenye Mauzo Ya Album

Big Sean arudi kwa kishindo, album yake mpya "Detroit 2" imekamata namba 1 kwenye chart za album bora duniani, Billboard 200.
Album hiyo iliyotoka Septemba 4 mwaka huu, imefanikiwa kuuza jumla ya nakala 103,000 kwa Marekani. Hii inakuwa kazi yake ya tatu kufikia mafanikio hayo, nyingine ni I Decided ya mwaka 2017 pamoja na Dark Sky Paradise ya mwaka 2015.

Album 10 Bora Week hii Billboard 200

1. Big Sean – Detroit 2 – 103,000
2. Pop Smoke – Shoot for the Stars Aim for the Moon – 75,000
3. Juice WRLD – Legends Never Die – 57,000
4. 6ix9ine – TattleTales – 53,000
5. Taylor Swift – Folklore – 48,000
6. Hamilton: An American Musical – 44,000
7. Lil Baby – My Turn – 40,000
8. Rod Wave – Pray 4 Love – 32,000
9. DaBaby – Blame It On Baby – 30,000
10. Post Malone – Hollywood’s Bleeding – 30,000


EmoticonEmoticon