Habari 5 Kubwa Za Soka Ulaya Jumanne September 15

Tetesi Za Soka Ulaya Jumanne September 15

1. Mchezaji wa Barcelona na Argentina Lionel Messi, ataombwa na rais wa klabu Josep Maria Bartomeu kukatwa mshahara.

2. Liverpool itasubiri mpaka wiki ya mwisho ya dirisha la usajili ili kumsajili rasmi kiungo wa kati wa Bayern Munich Thiago Alcantara,29.

3. Manchester United inahofia kuongezeka kwa ushindani katika kumnasa Sancho msimu ujao ikiwa hawatamchukua katika msimu huu wa dirisha la usajili.

4. Manchester City imetoa ofa ya pauni milioni 82 na pauni milioni 4.5 kwa ajili mchezaji wa nafasi ya ulinzi wa Atletico Madrid Jose Gimenez, 25.

5. Manchester United ipo tayari kumpa mkataba winga wa Madrid Gareth Bale ,31 kukaa kwa mkopo klabuni hapo kwa makubaliano ya kupewa mkataba baada ya kuonekana kumkosa winga wa Borussia Dortmund Muingereza Jadon Sancho ,20. Lakini mshambuliaji huyo wa Wales hataki uhamisho wa mkopo.


EmoticonEmoticon