Habari 5 Kubwa Za Soka Ulaya Jumatano September 9

Tetesi Za Soka Ulaya Jumatano September 9

1. Leeds United inajaribu kumshawishi kiungo wa Paris St-Germain na Ujerumani Julian Draxler, 26, ajiunge na klabu hiyo.

2. Mlinzi wa kati raia England, John Stone 26, anajiandaa kubaki Manchester City msimu huu na kupambania nafasi yake kwenye kikosi cha kwanza cha Pep Guardiola.
3. Beki wa Chelsea na England Fikayo Tomori, 22, anakaribia kutua Everton kwa mkopo wa muda mrefu.
4. Barcelona iko tayari kufufua tena nia yao ya kumsainisha beki wa Kihispania wa Manchester City Eric Garcia, 19.
5. Leicester City inaonekana kuizidi kete Manchester United kupata saini ya winga wa Bournemouth na Wales, David Brooks, 23.


EmoticonEmoticon