Justin Bieber Na Mke Wake Wanunua Mjengo Wa Bilioni 60

Justin Bieber na mkewe Hailey Baldwin sasa wana makazi mazuri ya kuishi, Bieber ameripotiwa kununua jumba la kifahari mjini Beverly Hills kwa kiasi cha ($25.8m) sawa na bilioni 60.3 za Kitanzania.

Jumba hilo lililopo kwenye makazi ya watu mashuhuri lina eneo la mita za mraba 11,000 huku likiwa na vyumba 7 vya kulala, mabafu 10 pia mengi ya kuvutia.


EmoticonEmoticon