Kanye West Amesema Ana Pesa Nyingi Kumzidi Rais Donald Trump

Kanye ametoa kauli hiyo kwenye Podcast ya Nick Cannon "Cannon Class" ambapo aliulizwa kama amelipwa na chama cha Republican ili agombee Urais kwa lengo na kuzigawa Kura na Rais Trump ashinde kiurahisi.

Kanye West alijibu "Kaka, hakuna anayeweza kunilipa mimi. Nina pesa nyingi kuliko Donald Trump." alisema Ye mwenye utajiri wa (USD 1.3 Billion) sawa na zaidi ya Trilioni 3 za Kitanzania.


EmoticonEmoticon