Kenya Yatoa Orodha Ya Majina Ya Watu 9 Na Kuzuia Mali Zao, Wakielezwa Kufadhili Kundi La Kigaidi Al Shabab

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Kenya imetoa orodha ya majina ya watu tisa iliosema wanafadhili shughuli za kundi la kigaidi, Al-shabaab nchini humo, na kuamuru kushikiliwa kwa fedha na mali zao. 

Kundi hilo limekuwa likitekeleza mashambulizi yaliyoua mamia ya watu nchini Kenya. Wizara ya mambo ya ndani imesema hatua hiyo ni sehemu ya juhudi mpya za kukabiliana na ugaidina  ugaidi nyumbani’’


EmoticonEmoticon