Kofia Ya Kifalme Ya B.I.G Kuuzwa Bilioni

Marehemu rapa B.I.G aliakaa kwenye picha moja maarufu sana akiwa amevaa crown kichwani, siku chache baadaye alifariki kwa kupigwa risasi.

Picha hiyo imekuwa ikitumika sehemu mbali mbali kumkumbuka marehemu B.I.G ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi March 9, 1997. 

Sasa katika mnada uliofanyika wiki hii, crown hiyo ya kifalme ambayo ilinunuliwa kwa ($6), imepigwa mnada na kuuzwa kwa kiasi cha ($822000) sawa na Bilioni 1.9 za Kitanzania.


EmoticonEmoticon