Messi Ameendelea Kukosa Mazeozi Licha Ya Kukubali Kuendelea Kubaki Kwenye Timu Hiyo

Mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina anayeichezea FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi bado ameendelea kukosekana katika mazoezi ya timu hiyo licha ya kuripotiwa kuwa kafuta uamuzi wa kushinikiza kutaka kuondoka Barcelona.


EmoticonEmoticon