Mwanamke Jasiri Aliyepambana Akafanikiwa Na Anatoa Fursa Kwa Wengine Kuinuka Kiuchumi Na Kutimiza Ndoto Zao

Rose Baruti ni mama ambaye anaamini kuwa, ili kupata mafanikio katika maisha ni lazima kupambana na kufanya kazi kwa bidii.

Yeye anaammini  pia kwamba kumsaidia mtu mwingine afanikiwe ndio njia bora ya kufikia mafanikio ya kudumu, na kwamba kumsaidia mtu mwingine afanikiwe ndyo njia bora ya kutoa mchango kaitka jamii.

Rose anasema, “Baada ya kuhitimu masomo ya Chuo kikuu, niliamua kujiajiri mwenyewe.

Nilijaribu kufanya biashara mbali mbali, ikiwemo kushona nguo, kukopesha vitenge na batiki, kilimo cha mpunga Dakawa Morogoro pamoja na Matango Chanika. Nilijaribu pia kufanya biashara nyingine ndogo ndogo.
Rose Baruti
Changamoto zangu kubwa zilikua mtaji kukata, kutopata faida kutokana na gharama kubwa za uendeshaji wa biashara.

Baada ya kuanza fursa hii, nimefanikiwa kubadili mambo yote hayo. Sina madeni wala marejesho, na maisha yangu yamebadilika sana.

Napata kipato kinachoweza kukidhi mahitaji yangu yote, na pia kufanya mambo mengine mengi ambayo sikuwahi kuwaza kama naweza kuyafanya! 

Pia nimeweza kuwasaidia kina mama wenzangu wengi sana kubadili maisha yao.

Wanawake, lazima tupambane  Nimejipanga kufanya kazi kwa bidii ili kubadilisha maisha ya wanawake wengine wengi zaidi!Inawezekana ulishafanya biashara ukajikuta mtaji umekata, au biashara haikuwezeshi kuweka akiba hata 300,000.00.

Au umeajiriwa, halafu mshahara hautoshi. Kila kukicha ni madeni, na hujui ufanye nini ili kutoka hapo ulipo.

Inawezekana umehitimu masomo yako na hujapata ajira. Njoo nikusaidie uinuke kiuchumi, upate tena matumaini mapya na ufufue tena ndoto zako zilizokua zimekufa”.

Rose ana moyo na nia ya kuwasaidia wanawake wengine kujikwamua kiuchumi na kuondokana na janga la shida, utegemezi na matatizo.

Tuma Neno PAMBANA kwenye Whatsapp (0754 371172) na atawasiliana na wewe.

Whatsapp/Call : 0754 371172 Au 0715 371172

Follow on Instagram


EmoticonEmoticon