Nguli Mpya Wa Filamu Aliyetajwa Kama Bilionea Mpya Na Jarida La Forbes

Jarida La Forbes limemtaja Nguli wa Filamu na Mjarisiliamali Tyler Perry kama Bilionea Mpya katika Kiwanda cha Burudani Duniani.

Star huyo wa Hollywood ambae ni Muigizaji, Producer na Muandishi , alishitua Ulimwengu hivi karibuni baada ya Kufungua Studio zake Mpya “Tyler Perry Studio “ ambazo ni Moja kati ya Studio Kubwa Zaidi za Filamu Duniani kwa sasa 

Tyler Perry anatajwa kuwa na utajiri wa zaidi ya Dolla za Kimarekani Bilioni 1.4 kwa sasa .


EmoticonEmoticon