Pamoja Na Kuchukiwa Na Jamii Ya Watu Weusi Lakini Tekashi 69 Anavutiwa Sana Na Wanawake Weusi

Tekashi amezungumza hayo alipokua kwenye mahojiano na Mtandao wa Theshaderoom , baada ya kuulizwa anahisi jamiii ya watu weusi inamchukuliaje Kutokana na baadhi ya mambo yake aliyoyafanya .

“Ni swali la mitego sana , unajua mimi napenda sana watu weusi na hata Mpenzi wangu ni mweusi . Mimi navutiwa sana na wanawake weusi , na Girlfriend wangu wa kwanza nikiwa darasa la kwanza (First Grade) alikua ni Mweusi pia “ Alisema Tekashi


EmoticonEmoticon