Raisi Wa Argentina Amshauri Messi Baada Ya Kusikia Anataka Kuhama Barcelona

Lionel Messi ataondoka Barcelona msimu hii na '' inawezekana'' akaelekea Manchester City, kwa mujibu wa mgombea wa urais wa klabu hiyo, Toni Freixa. 

Barcelona inaamini kwamba njia pekee ya mshambuliaji huyo wa Argentina, 33, kuondoka kihalali bure ni ikiwa ataahidi kwamba hatashiriki katika michuano ya msimu ujao. 

Rais wa Argentina, Alberto Fernandez, amemshauri Messi kurejea katika klabu yake ya ujana ya Newell's Old Boys. 


EmoticonEmoticon