Kuna sababu moja au mbili ambazo
mwanamume hawezi acha familia kwa sababu ya side chick na hizi hapa sababu
ambazo mwanamume hawezi acha familia yake kwa ajili ya mchepuko.
1.Watoto
Kama mwanamume ambaye ana
akili timamu hawezi acha watoto wake wateseke kwa ajili ya mwanamke mwingine,
kwa kawaida wanaumwe wengi wanapenda watoto wao kwa maana hujivunia kuwa nao.
Wao ndio nguvu yake ya
kuamka kila asubuhi na kuenda kuwatafutia.
2.Wake
huwawezesha
Kama mwanamume yuko na
shida fulani kwa kweli mkewe atamuelewa na hatumuomba pesa kwa sababu anajua
hali yake na mfuko wake ulivyo na si kama mchepuko ambaye kila wakati ni kuomba
pesa wala si kuwekeza.
3.Ni
picha yake
Mwanamume hujivunia mkewe
na kuonyesha kila rafiki familia yake na wala hawezi tambulisha mchepuko kwa
marafiki kwa maana hajafaulu kuwa mke.
4.Anampenda
mkewe
Wazo la mtu kuwa mwanamume
anampenda mkewe na kisha kuwa na mchepuko linakanganya lakini hufanyika, watu
ambao ukiri wanawapenda wake zao wanatambulika kama ndio nambari moja
kuwadanganya na kucheza na hisia zao na hawawezi kuacha wake zao wateseke au kwenda
kwa maana wanawapenda.
5.Kwanini
abadilisha ladha yake
Kama umekuwa ukimpa haki
yake kila wakati atakapo kwanini aje kwa ladha ile ile ambayo amekuwa akipokea
bali atabadili kwa maana amekaa sana bila kupewa haki na mkewe.
Kwa miaka amekuwa na mkewe
na kwa hakika hawezi kumuacha.
EmoticonEmoticon