The Rock Aeleza Hali Yake Baada Ya Kuugua Corona Yeye Na Familia Yake (VIDEO)

Mwigizaji wa Hollywood Dwayne Johnson maarufu kama The Rock amesema yeye, Mkewe pamoja na Watoto wake wawili wa kike walipata corona wiki mbili zilizopita lakini anamshukuru Mungu kuwa kwa sasa wanaendelea vizuri.

"Tumepitia kipindi kigumu sana mimi na Familia yangu, naamini tuliambukizwa na Mtu wa karibu wa Familia hivyo naomba na wengine wachukue tahadhari pia kabla ya kukutana kifamilia au na marafiki, msisahau kuvaa mask, kwa sasa nina furaha mimi na familia yangu tuko vizuri"


EmoticonEmoticon