TikTok Wawasilisha Maombi Ya Kutoondolewa Kwenye Store Za Applications

TikTok imewaomba Majaji wa Marekani watoe zuio la agizo la Trump ambalo litapelekea Apple na Google kuondoa uwezekano wa Watu kupakua (download) TikTok Marekani kuanzia Jumapili hii. 

Rais Donald Trump wa Marekani ameikataa tiktok kitambo huku akisema Tiktok inatoa taarifa za Wamarekani kwa Serikali ya China hivyo kama haitouziwa kwa Kampuni ya Kimarekani ataiondoa isitumike Marekani.


EmoticonEmoticon