Trump Atetea Wafuasi Wake Kuhusu Makabiliano Makali Yaliyotokea Portland

Rais wa Marekani Donald Trump ametetea wafuasi wake kwa madai ya mchango wao kwenye makabiliano yaliyotokea hivi karibuni. 

"Naelewa kwamba kulikuwa na idadi kubwa ya watu ambao ni wafuasi, lakini hayo yalikuwa maandamano ya amani," Bwana Trump alimjibu mwanahabari wa CNN, na yeye mwenyewe amekuwa akishutumu vyombo vya habari vya Marekani kwa kupuuza maandamano yanayotekelezwa na kundi la Black Lives Matter.

"Rangi kama njia ya kujilinda rangi sio risasi.

"Wafuasi wako na ni wafuasi wako kweli, walimpiga risasi mwanaume mmoja kijana na kumuua, sio kwa rangi lakini kwa risasi. Na nafikiria hilo ni jambo baya."

Mwanahabari mwingine alimuuliza Trump ikiwa atashutumu ufyatuaji wa risasi uliotokea Kenosha, Wisconsin, ambaye inasemekana aliwahi kuhudhuria moja ya mikutano ya rais.

Kyle Rittenhouse, 17, anashutumiwa kwa mauaji ya watu watatu , Tukio hilo lililotokea wakati wa maandamano mjini humo yaliosababishwa na hatua ya Jacob Blake kupigwa risasi.

"Yote hayo tunayafuatilia," Bwana Trump amesema, "ni hali ambayo inazua maswali, mliona nilichokiona mimi, nafikiri alikuwa anajaribu kuondoka, inaonekana hivyo. Akaanguka na wakaanza kumshambulia.

"Na sasa hivi wanafuatilia tukio hilo, wakati uchunguzi unaendelea. "Nafikiri alikuwa kwa matatizo makubwa, pengine hata angeuawa."


EmoticonEmoticon