VIDEO | 6IX9INE- TUTU

Video ya wimbo mpya 'Tutu' toka kwa Tekashi 69 inayopatikana kwenye album yake mpya ya 'TattleTales' ambayo imetoka rasmi leo Ijumaa September 4. Video imeongozwa na Ust4canon & 6ix9ine


EmoticonEmoticon