Zawadi Ya Mamilioni Drake Aliyomzawadia Dj Khaled

 

Drake amemzawadia DJ Khaled kidani cha almasi. Kidani hicho kimetengenezwa mahususi kwa ajili ya kusheherekea mafanikio ya ngoma zao "Popstar" na "Greece" zilizotoka hivi karibuni.

Kwenye kidani hicho imewekwa Bundi (Owl) inayomuwakilisha Drake, Funguo (Key) na kichwa cha Simba vinavyomuwakilisha DJ Khaled.

TAZAMA VIDEO


EmoticonEmoticon