Amber Rose Aeleza Kanye West Alivyomnyanyasa Kwa Muda Mrefu

 

Mrembo Amber Rose, amefunguka kuwa kwa Mda mrefu sana aliyekuwa mpenzi wake wa Zamani Kanye West , amekuwa akimsema vibaya na kumdhalilisha Licha ya wawili hao kuachana kwa Miaka 10 sasa .

Amber ameyasema hayo kwenye Mahojiano yake na Kipindi cha No Jumper, na kusema kuwa Kanye Amekua akimuita "Malaya" kwenye baadhi ya Mahojiano yake kitu ambacho ni udhalilishaji .

"Kanye amekuwa akinidhalilisha kwa zaidi ya Miaka 10 sasa . Ananiita "malaya" wakati mimi sijawahi kumuongelea vibaya popote . Nina watoto sasa , nina mume ninayempenda hivyo inabidi aachane na mimi , asiniongelee " - amesema Amber Rose kwenye Mahojiano hayo.


EmoticonEmoticon