Rais wa World Bank, David Malpass
amesema janga la Corona Virus linaweza kusababisha changamoto ya kulipa madeni
katika baadhi ya nchi.
Amesema,
wawekezaji wawe tayari kutoa misaada ambayo inaweza kujumuisha kufutwa kwa
madeni hayo kwani ni dhahiri nchi nyingine haziwezi kulipa fedha ambazo
zimechukua
Mwezi Agosti, Malpass alionya mlipuko huo unaweza kuwapeleka watu Milioni 100 katika umasikini. Ametoa wito kwa Benki Binafsi na Mashirika ya Uwezekaji kujihusisha zaidi katika suala hilo.
EmoticonEmoticon