Rais wa Marekani Donald Trump alizungumza kuhusu maendeleo ya Chanjo dhidi ya Virusi vya Covid-19 ambayo itaanza kutumika hivi karibuni nchini Marekani.
Na katika hotuba
yake , Rais Trump amewambia wamarekani kuwa hakuna mwenye kosa juu ya Mlipuko
wa Virusi wa Corona , Bali ni China ndiyo ambayo imeleta Virusi hivyo na
inabidi iwajibishwe,
“Sio kosa Lenu hili
kutokea , ni kosa la China . China ndio imeleta virusi hivi , na lazima
iwajibike kwa kitu ilichofanya kwa Marekani na Dunia “ - Trump
EmoticonEmoticon