Chris Brown Kazama Kwenye Penzi Jipya Na Mtoto Wa Vietnam

 

Chris Brown, ‘Breezy’ anahusishwa kuwa penzini na binti huyu aitwaye Gina Huynh ambaye ni raia wa Vietnam.

Wawili hao wameonekana pamoja wakiwa wameshikana mikono kwa ukaribu mjini Los Angeles, location wakati Chris Brown akifanya video ya wimbo "City Girls" akiwa na Young Thug.

Awali Gina aliwahi kuhusishwa kutoka kimapenzi na mkongwe Diddy ambapo maua ya penzi lao yalitapakaa sana kwenye mtandao wa instagram mwaka jana.


EmoticonEmoticon