Staa wa timu ya taifa ya Ureno
Cristiano Ronaldo baada ya jana kuthibitika kuwa na Corona huku Ureno wakisema
anaendelea vizuri, jana ameonesha mapenzi na sapoti yake kwa Ureno ambayo
ilicheza dhidi ya Sweden katika mchezo wa UEFA National League.
Ronaldo amepost
picha akiwa na jezi ya nyumbani ya Ureno kutokea nyumbani kwake ambako
amejitenga sababu ya Corona na hawezi kucheza game hiyo, Ronaldo kapiga picha
na TV akionesha kuifuatilia game hiyo fiti nyumbani na kuisapoti timu yake ya
taifa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon