Habari Tano Kubwa Za Michezo Ulaya Alhamisi October 22

 

Tetesi Za Soka Ulaya Alhamisi October 22, 2020

1. Mshambuliaji Kylian Mbappe, 21, anaweza kuondoka Paris St-Germain kuelekea Liverpool au Real Madrid msimu ujao.

2. Brighton wanaelekea kukubali yuro milioni £50m kwa ajili ya kumsajili kiungo wa kati Ben White kama Liverpool itahitaji mchezaji atakayechukua nafasi ya mchezaji wa Uholanzi Virgil van Dijk, 29, kwa mchezaji wa Uingereza mwenye miaka 23-mnamo Januari.

3. Tottenham ina mpango wa kufanya mazungumzo na Danny Rose, 30, kuhusu suala la kusitisha mkataba wake mapema .

4. Barcelona imewakaribisha wachezaji wake ili kujadiliana kuhusu kupunguza mshahara kwa wafanyakazi wote, lakini wachezaji hawatarajii kushiriki mkutano huo na wanatarajia mkutano mwingine tofauti na huo.

5. Meneja wa Aston Villa Dean Smith amesema mkataba wa kudumu wa mchezaji wa mkopo wa Chelsea Ross Barkley, 26, bado haujajadiliwa.


EmoticonEmoticon