Habari Tano Kubwa Za Soka Ijumaa October 23

 

Tetesi Za Soka Ulaya Ijumaa October 23, 2020

1. Meneja wa zamani wa Tottenham Mauricio Pochettino na meneja wa sasa wa timu ya akiba ya Real Madrid Raul wanashindania kukaba nafasi ya timu hiyo kubwa zaidi ya Uhispania iwapo wataamua kumfukuza Zinedine Zidane ambaye anakabiliwa na shinikizo. 

2. Mchezaji wa safu ya kati ya Arsenal na Ujerumani Mesut Ozil anaweza kuhamia katika klabu ya Marekani ya MLS huku DC United ikionesha nia ya kumtaka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32.

3. Tottenham walishusha chini kiwango cha bei ya difenda Wales Joe Rodon, 23, kwa pauni milioni 5 baada ya kukataa kutimiza kiwango kilichotakiwa cha bei cha Swansea kulingana na tarehe ya mwisho ya EFL .

4. Difenda wa Barcelona kutoka Catalania Gerard Pique, mwenye umri wa miaka 33, alikubali kupunguza malipo yake kwa 50% kwa kipindi kilichosalia cha msimu, kwasababu ya athari za mzozo wa corona. 

5. Meneja wa Manchester City Guardiola ana matumaini kuwa anaweza "kumshawishi" mlinzi wa uhispania Eric Garcia, 19, kuongeza mkataba wake.


EmoticonEmoticon