Habari Tano Kubwa Za Soka Ulaya Ijumaa October 30

 

Tetesi Za Soka Ulaya Ijumaa October 30, 2020

1. Mgombea urais wa Barcelona Victor anataka kumregesha mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola katika klabu hiyo. Guardiola anahudumia mwaka wa mwisho wa mkataba wake Etihad. 

2. Liverpool bado wanamtaka mlinzi wa Napoli Kalidou Koulibaly na wanatarajiwa kutangaza dau lingine na la kumnunua mchezaji huyo wa kimataifa wa Senegal international, 29, mwezi Januari mwakani. 

3. Kiungo wa kati wa Arsenal Matteo Guendouzi, 21, amedokeza kuwa wachezaji wenza wa Gunners - Mesut Ozil na Bernd Leno walimshauri ajiunge na Hertha Berlin kwa mkopo.

4. Beki wa Tottenham Toby Alderweireld huenda akahama klabu hiyo ya Ligi ya Primia kandarasi yake itakapokamilika mwaka 2023, anasema baba yake kiungo huyo raia wa Ubelgiji mwenye umri wa miaka 31.

5. Liverpool bado wanamtaka mlinzi wa Napoli Kalidou Koulibaly na wanatarajiwa kutangaza dau lingine na la kumnunua mchezaji huyo wa kimataifa wa Senegal international, 29, mwezi Januari mwakani.


EmoticonEmoticon