Habari Tano Kubwa Za Soka Ulaya Jumatano October 28

 

Tetesi Za Soka Ulaya Jumatano October 28, 2020

1. Juventus ilijaribu kumsajili mshambuliaji wa Barcelona na Hispania forward Ansu Fati, 17, katika dirisha la usajili la majira ya joto lililopita.

2. Mshambuliaji wa Paris St-Germain Kylian Mbappe, atatrimkia Real Madrid katika dirisha lijalo la usajili la majira ya joto, kwa mujibu wa mchezaji mwenzake wa zamani wa timu ya taifa ya vijana ya Ufaransa chini ya miaka 21, Adil Rami.

3. Meneja wa Borussia Dortmund Lucien Favre anaamini kwamba uvumi kumuhusu winga Jadon Sancho kuelekea Manchester United ungeweza kusababisha kushuka kwa kiwango kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa England mwenye miaka 20.

4. Winga wa Manchester City raia wa Algeria Riyad Mahrez, 29, yuko tayari siku moja kurejea Ufaransa kuchezea klabu yake ya utotoni Marseille. 

5. Mlinda mlango wa Manchester United, 33, Muargentina Sergio Romeroamepewa ofay a kurejea Racing Club de Avellaneda, lakini itampasa akubalia kukatwa mshahara wake kwa kiwango kikubwa. 


EmoticonEmoticon