Habari Tano Kubwa Za Soka Ulaya Jumatatu October 5

Tetesi Za Soka Ulaya Jumatatu October 5, 2020

1. Juventus inaandaa dau la kumnunua beki wa kushoto wa Chelsea Emmerson Palmieri wakiwa na lengo la kumsaini mchezaji huyo wa Itali mwenye umri wa miaka 26.

2. Kiungo wa kati wa Arsenal Matteo Guendouzi, 21, anatarajiwa kuelekea katika timu ya ligi ya Bundesliga Hertha Berlin, baada ya kuwachwa nje ya kikosi cha timu hiyo katika uwanja wa Emirates.

3. Tottenham inatarajiwa kufanya jaribio la mwisho kumsaini beki wa InterMilan mwenye umri wa miaka 25 Slovakia defender Milan Skriniar.

4. Beki wa kati wa Ufaransa Jean-Clair Todibo, 20, huenda anaondoka Barcelona kwa mkopo, akitarajiwa kuelekea Fulham ambako anaelekea huku Everton pia nayo ikiwa ina hamu ya kumchukua.

5. Bayern Munich itamlenga winga wa Juventus na Brazil Douglas Costa, 30, iwapo watashindwa kumsajili mshambuliaji wa Chelsea na England Callum Hudson-Odoi, 19.


EmoticonEmoticon