Tetesi Za Soka Ulaya Alhamisi October 8, 2020
1. Mshambuliaji wa Barcelona
Ousmane Dembele 23 hakuwa na hamu ya kujiunga na Manchester United kabla ya
kukamilika kwa dirisha la uhamisho na sasa anataka kujiunga na Juventus msimu
ujao.
2. Mkufunzi wa Tottenham Jose
Mourinho anatarajiwa kumwacha nje beki wa kushoto wa England Danny Rose, 30,
katika kikosi chake cha wachezaji 25 ambacho kinatarajiwa kukamilika kufikia
tarehe 20 Oktoba.
3. Bayern Munich, ambao
walishindwa kuafikiana kuhusu mkataba wa kumsajili kwa mkopo winga wa England
Callum Hudson Odoi 19 waliambiwa na Chelsea kwamba watapewa adhabu iwapo mchezaji
huyo hatashirikishwa katika mechi nyingi katika ligi ya Bundesliga mbali na
kifungu cha sheria cha Bayern kumnunua kwa zaidi ya £70m iwapo atacheza idadi
fulani ya mechi.
4. Mchezaji wa Westaham na Brazil
Felipe Anderson anasema anaafikia ndoto yake ya kushiriki katika mechi za ligi
ya klabu bingwa Ulaya baada ya kuhamia katika klabu ya Porto kwa mkopo katika
kipindi cha msimu kilichosalia , lakini anaamini kwamba bado ataendelea
kuichezea West.
EmoticonEmoticon