Mataifa 10 Yenye Nguvu kubwa Za Kijeshi Duniani Mwaka 2020

 

Jarida la kimataifa la 'Firepower' ambalo huwa linalinganisha uwezo wa vikosi vya majeshi duniani kila mwaka , limetoa orodha ya mataifa 138 pamoja nguvu walizo nazo.

Ripoti hiyo imeangalia idadi ya silaha, jeshi na rasilimali fedha ambazo nchi hizi hutumia katika operesheni za kijeshi.

Nafasi ya kwanza katika orodha huwa haibadiliki kila mwaka . Ingawa baadhi ya nchi huwa zna uwezo tofauti kila mwaka.

1- Marekani

2- Urusi

3- China

4 India

5- Japan

6- Korea Kusini

7- Ufaransa

8- Uingereza

9- Misri

10- Brazil


EmoticonEmoticon