Watu zaidi ya wanne wamefariki Dunia
na wengine zaidi ya 30 kujeruhiwa kwenye mlipuko mwingine uliotokea jana
Beirut, Lebanon "bado tunaendelea kuwaokoa wengine walionasa wakiwemo
Watoto”
Mlipuko huo
umesababishwa na kulipuka kwa tank la mafuta kwenye eneo la makazi ya Watu
karibu kabisa na jengo la Apparment, hii inakuja ikiwa imepita miezi miwili
tangu Bandari ya Beirut ilipolipuka na kuua zaidi ya Watu 200 na Majeruhi zaidi
ya 6000.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon