Lionel Messi na Cristiano Ronaldo
ndio wachezaji wanaorodheshwa katika nafasi za juu mwaka huu kwa malipo na
jarida la Forbes kwa mara nyengine, baada ya Messi kusuluhisha tatizo la
kandarasi yake na kuwa mchezaji wa kwanza anayelipwa zaidi duniani akijipatia
pato la $ 126m, akimshinda Ronaldo ambaye ni wa pili kwa pato la $ 117m.
Tazama Orodha Kamili Na Mapato Yao
1. Lionel Messi-Barcelona
Jumla ya
mapato : $126 million
Msharaha: $92 million.
Ufadhili: $34 million
2. Cristiano
Ronaldo-Juventus
Jumla ya
mapato: $117 million
Mshahara:
$70m
Ufadhili: $47 million
3. Neymar
Jr.-Paris Saint-Germain
Jumla ya
Mapato: $96 million
Mshahara: $78million
Ufadhili: $18 million
4. Kylian
Mbappe-Paris Saint-Germain
Jumla ya
mapato: $42 million
Mshahara: $28m
Ufadhili: $14 million
5. Mohamed
Salah-Liverpool
Jumla ya
mapato: $37 million
Mshahara: $24m
Ufadhili: $13 million
6. Paul
Pogba-Manchester United
Jumla ya
mapato: $34 million
Mshahara: $28m
Ufadhili: $6 million
7. Antoine
Griezmann-Barcelona
Jumla ya
mapato: $33 million
Mshahara: $28
Ufadhili: $5 million
8. Gareth
Bale-Tottenham
Jumla ya
mapato: $29 million
Mshahara: $23m
Ufadhili: $6 million
9. Robert
Lewandowski-Bayern Munich
Jumla ya
mapato: $28m
Mshahara: $24m
Ufadhili:$4m
10. David De
Gea-Manchester United
Jumla ya
mapato: $27m
Mshahara: $24m
Ufadhili: $3m
EmoticonEmoticon