Pamoja Na Cardi B Kutaka Talaka Lakini Offset Amemzadia Bonge Moja La Zawadi Kwenye Birthday Yake (VIDEO)

 


Cardi B na Offset mapenzi motomoto. Rapa Offset amemfanyia bonge la surprise Mama mtoto wake, Cardi B kwenye siku yake ya kuzaliwa (Oct. 11) ambapo amempatia zawadi ya gari aina ya Rolls Royce.

Cardi B alipagawa kwa furaha na aliishia kumpiga mabusu mazito Offset na kumkatikia licha ya hivi karibuni kutoka mbele ya mitandao akidai kuwa wameachana na anataka talaka yake.

View this post on Instagram

#cardib #offset #cardibandoffset #birthday

A post shared by Cardi B and Offset (@cardiboffsetworld) on


EmoticonEmoticon