Rihanna Alaani Mauaji Yanayoendelea Nigeria

 

Star wa Muziki nchini Marekani Rihanna, amelaani na kupinga Vikali Mauaji ya waandamanaji yaliyotokea nchini Nigeria , huku akiita kitendo hicho ni kigumu sana kukitazama .

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Rihanna ameandika kuwa inashangaza sana kuona unyanyasaji na utesaji unaondelea katika nchi Mbalimbali Duniani .

"Moyo wangu umevunjika sana kuhusu yanayoendelea Nigeria. Ni ngumu sana Kutazama ! Nawapongeza sana kwa Ujasiri wenu na Jitihada za kutokata Tamaa katika kupigania haki zenu " - ameandika Rihanna .


EmoticonEmoticon