Trump Awahutubia Wafuasi Wake Kwa Mara Ya Kwanza Baada Ya Kuugua Corona

Rais Trump amewahutubia Wafuasi wake uso kwa uso kwa mara ya kwanza tangu aliporuhusiwa kutoka Hospitali baada ya kuugua corona. 

Tukio hilo limefanyika Ikulu huku Watu wengi wakionekana bila barakoa, na hii ni kutokana na kauli ya Daktari wa ikulu kusema kwamba hakuna hatari ya Trump kusambaza corona.

“Nipo imara, nitaboresha Elimu,Afya na nitaongeza zaidi usawa, ulinzi na haki kwa Watu weusi”-Trump


EmoticonEmoticon