Waandaaji wa tuzo za Grammy Wametaja Majina ya wasanii Watakaowania tuzo hizo na
Vipengele Husika kwa Mwaka 2021,
Staa wa muziki
kutokea Nchini Marekani Beyonce Ameongoza
Kwa kutajwa katika katika Tuzo hizo Baada ya Kutajwa kwenye Vipengele 9 ikiwemo
kipengele cha 'Best music Video' Kupitia Wimbo Aliomshirikisha Wizkid 'Brown Skin Girl',
Akifuatiwa na Roddy
Ricch,Taylor Swift na Dua lipa Ambao wametajwa kuwania tuzo katika Vipengele 6
kwa Kila Mmoja
Beyonce, ambaye
hadi sasa ameteuliwa mara 79 kuwania Tuzo hizo na kushinda mara 24, ndiye
msanii pekee wa kike aliyechaguliwa zaidi katika historia ya Grammy.
EmoticonEmoticon