Beyonce Atangaza Kujipa Mapumziko Kwenye Muziki

 

Baada ya Zaidi ya Miaka 20 katika biashara ya Muziki , Beyonce ametangaza kujipa mapumziko "Break" kuhusiana na Maswala yote ya Muziki na Kujikita zaidi katika kuiangalia Familia yake .

Beyoncé ambae ni Mama wa watoto watatu, ametoa Exclusive hiyo kupitia Mahojiano yake maalumu na Jarida la Vogue , na kusema kuwa Album yake ya 'Black is King ' imemfundisha vitu vingi ikiwemo kujua thamani ya kuwa Mama , hivyo anadhani huu ni muda sahihi kwake kuutumia akiwa na Familia yake zaidi.


EmoticonEmoticon