Diamond, Zuchu Na Nandy Washinda Kwa Kishindo Tuzo Za Afrimma 2020

 

Usiku wa kuamkia leo kulifanyika tuzo kubwa zinazofanyika kila mwaka barani Afrika ambazo ni tuzo za Afrimma.

Tanzania imejizolea tuzo tatu ambazo zimebebwa na Diamond Platnumz, Zuchu na Nandy.

Vipengele walivyoshinda

Best Male East Africa
Diamond Platnumz – Tanzania — WINNER

Best Female East Africa
Nandy – Tanzania — WINNER

Best Newcomer
Zuchu – Tanzania — WINNER


EmoticonEmoticon