Habari Tano Kubwa Za Soka Ulaya Jumatano November 5

Tetesi Za Soka Ulaya Alhamisi November 5, 2020

1. Mwenyekiti wa Bayern Munich Karl-Heinz Rummenigge amesema anataka mlinzi wa Austria David Alaba kusalia kwenye klabu, lakini uamuzi unabaki kuwa wa mchezaji huyo ambaye pia Real Madrid wanataka kumsajili baada ya mkataba wake kukamilika msimu ujao.

2. Barcelona wanaweza kuhamia katika mchakato wa kumnasa kiungo wa kati wa Tottenham , Mfaransa Tanguy Ndombele, 23, msimu ujao. 

3. Manchester United imekosa kumsajili winga wa Bayer Leverkusen, Mfaransa Moussa Diaby, 21, katika msimu huu wa dirisha la usajili.

4. Mazungumzo kati ya mchezaji wa Uhispania anayecheza nafasi ya ulinzi Sergio Ramos, 34 na klabu ya Real Madrid kuhusu mkataba mpya yameanza.

5. Ligi ya Primia itafanya mazungumzo na watangazaji kuona kama waendelee na mfumo wa kutoza fedha kwa kila mechi itakayotazamwa baada ya mkutano na vilabu vyote 20 siku ya Alhamisi.  


EmoticonEmoticon