Habari Tano Kubwa Za Soka Ulaya Jumanne November 17

 

Tetesi Za Soka Ulaya Jumanne November 17, 2020

1. Manchester United bado wanamtaka winga wa Borussia Dortmund na England Jadon Sancho na wanajaribu pia kusaini mkataba wa kumleta kijana huyo mwenye umri wa miaka 20 kabla ya mshindano ya michuano ya mwaka ujao ya kombe la Ulaya -European Championships.

2. Paris St-Germain watafanya dau kwa ajili ya mlinzi wa Real Madrid na Uhispania Sergio Ramos. Ramos mwenye umri wa miaka 34- Januari yuko huku wakifanya mazungumzo na klabu kuanzia tarehe mosi. 

3. PSG pia wanajaribu kuongeza mikataba ya Mfaransa Kylian Mbappe, 21, na mshambuliaji Mbrazil Neymar, 28.

4. Everton na Tottenham kwa pamoja zinataka kumsaini mshambuliaji wa timu ya Napoli Mpoland Arkadiusz Milik na kijana huyu mwanye umri wa miaka 26-anaweza kupatikana kwa pauni milioni 10 tu katika kipindi cha dirisha la uhamisho wa wachezaji mwezi wa Januari . 

5. Barcelona wanaangalia uwezekano wa kumchukua beki wa Arsenal na Ujerumani Shkodran Mustafi.


EmoticonEmoticon