Habari Tano Kubwa Za Soka Ulaya Jumatatu November 2

 

Tetesi Za Soka Ulaya Jumatatu November 2, 2020

1. Wakala Pini Zahavi imemtoa kama ofa mchezaji wa nafasi ya ulinzi wa Bayern Munich David Alaba kwa Real Madrid lakini Juventus na Inter Milan pia zinapenda kumnasa mchezaji huyo, 28 raia wa Austria, ambaye mkataba wake utamalizika mwishoni mwa msimu.

2. AC Milan imemfanya mlinzi wa Barcelona, Emerson, 21 ambaye anacheza kwa mkopo katika klabu ya Real Betis, kuwa mchezaji wanayemuhitaji zaidi msimu ujao.

3. Kocha wa Napoli Gennaro Gattuso amebainisha kuwa nyota James Bond Sir Sean Connery, aliyepoteza maisha siku ya Jumamosi, alijaribu wakati mmoja kumshawishi kutoondoka Rangers.

4. Mshambuliaji wa Brazil, Gabriel Jesus, 23, ameonesha picha yake akiwa mazoezini na kikosi cha Manchester City. 

5. Mshambuliaji wa Brazil ‘Neymar’ hana mpango tena wakujiunga na Barcelona na mchezaji huyo, 28 anaona bora kusalia Paris St-Germain


EmoticonEmoticon