Habari Tano Kubwa Za Soka Ulaya Jumatatu November 30

 

Tetesi Za Soka Ulaya Jumatatu November 30, 2020

1. Kiungo wa kati Mjerumani Sami Khedira, 33, anasema anaweza kuhamia katika Primia Ligi wakati mkataba wake na Juventus utakapoisha msimu huu. Aliongeza kuwa anaendelea kuwasiliana na mameneja wa Everton Carlo Ancelotti na wa Tottenham Jose Mourinho. 

2. Liverpool wamekuwa wakihusishwa na mlinzi wa Ajax Perr Schuurs, 21, lakini the Reds hawajafanya dau lolote kwa ajili ya Mholanzi huyo . 

3. Mkufunzi wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer anasema "hashiri sana kuhusu wale watakaoingina na kutoka " wakati wa dirisha la uhamisho la wachezaji la mwezi wa Januari . 

4. Juventus wanaweza kumlenga kiungo wa safu ya kati-nyuma wa Atletico Madrid na kiungo wa kati -nyuma wa Montenegro Stefan Savic, 29,ili kuimarisha safu yao ya ulinzi. 

5. Viungo wa safu ya kati Wahispania Riqui Puig, 21, na Carles Alena, 22, wanapijgania hali zao za baadaye katika timu ya Barcelona sawa na mshambuliaji Mdenmark Martin Braithwaite, 29, na kiungo wa nyuma-kushoto Muhispania Junior Firpo, 24.


EmoticonEmoticon