Habari Tano Kubwa Za Soka Ulaya Jumatano November 4

 

Tetesi Za Soka Ulaya Jumatano November 4, 2020

1. Mshambuliaji wa Borussia Dortumund Erling Braut Haaland,20, ameungwa mkono kujiunga na Liverpool badala ya Manchester United na Mkurugenzi wa michezo wa RB Salzburg Christoph Freund.Haaland alijiunga na Dortmund akitokea Salzburg mapema mwaka huu. 

2. Liverpool inaweza kumpoteza mshambuliaji Mohamed Salah, 28,kwenye michuano tofauti msimu ujao.

3. Kipengele cha uhamisho kilichowekwa kwenye mkataba wa kiungo mshambuliaji wa Barcelona, Mhispania Pedri, 17 ni pauni milioni 360.

4. Mmiliki wa klabu ya Tottenham Joe Lewis ameruhusu mshambuliaji wa Korea Kusini Song Heung-min,28, kupewa mkataba wenye thamani ya pauni 200,000 kwa wiki na marupurupu mengine.

5. Manchester United wametakiwa kuchangamka kwenye dirisha la usajili la mwezi Januari, wito umetolewa mlinda mlango wa zamani Peter Schmeichel, baada ya kufanya vibaya kwenye ligi ya Primia. 


EmoticonEmoticon