Kijiji
kimoja kinachofahamika kama Piobbico kimekuwa maarufu kwa kuwa na watu wenye
sura mbovu zaidi duniani na kwa sasa dhana hiyo imekifanya kuwa maarufu zaidi
duniani.
Kijiji hicho ambacho kimekuwa kikienzi utamaduni huu kwa
miaka 140 sasa, kiko katikati ya milima ya Apennine na bahari ya Adriatic
katikati mwa Italia.
Piobbico ni kijiji cha zamani kilichozungukwa na majengo ya matofali na misitu iliyostawi. Lakini licha ya muonekano wake wa kuvutia, kijiji hicho kinafahamika sana kwa kuwa na watu wenye sura mbaya zaidi duniani.
EmoticonEmoticon