Rais wa Urusi Vladimir Putin
ameendelea na msimamo wake akisema hayupo tayari kumtambua Joe Biden kama
Mshindi wa Urais Marekani na hatompongeza kwa sasa kwakuwa Trump hajayakubali
matokeo hivyo Demokrasia haijazingatiwa.
"Tutafanya
kazi na yeyote atakayetangazwa Mshindi kihalali na Wamarekani wakasema anafaa,
ila pia Mshindi ni lazima awe amekubalika na upande wa pili, Trump bado
hajakubaliana na matokeo kwanini nianze kumpongeza Joe?"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon